Sermon'e

on November 9, 2025
This content is part of a series Mahubiri, in .

FUMBO LA MSALABA

Luka 12:48-50 Ukiiona sema amen! Hii sio aya ya kawaida, sio ya kawaida kwa sababu sisikii wahubiri wakihuri kila wakat. Nimewahi kusikia mara moja maishani mwangu kusikia , Labda kama […]

on October 19, 2025
This content is part of a series Mahubiri, in .

MATENDO YA KUHANI

GLOBAL CHURCH OF CHRIST JESUS TANZANIA IDARA YA UMISHENI NA ELIMU Limeandaliwa na Willy Emmanuel KAZI ZA KUHANI 1 Petro 2:10-12 4Basi, mwendeeni Bwana! Yeye ndiye jiwe hai lililokataliwa na […]

on October 12, 2025
This content is part of a series Mahubiri, in .

VUNJA VIZUIZI

TWEKA KILINDINI Luka 5:1-10 Mashua Petro nyavu bahari/ziwa samaki Aya hii sio ngeni lakini kuna vitu ambavyo hujawahi kuviona kwenye aya hii hii Mungu ameniambia nikwambie Yale ambayo Mungu anataka […]

on October 5, 2025
This content is part of a series Mahubiri, in .

USIONDOKE KAMA ULIVYOKUJA

GLOBAL CHURCH OF CHRIST JESUS TANZANIA IDARA YA UMISHENI NA ELIMU Limeandaliwa na Willy Emmanuel USIONDOKE KAMA ULIVYOKUJA Marko 5:2-28 1. Kufungwa 2. Makubalini 3. Kulia 4. Kumkimbilia Yesu UTANGULIZI […]

on June 22, 2025
This content is part of a series Mahubiri, in .

USIONDOKE NA UPEPO

GLOBAL CHURCH OF CHRIST JESUS TANZANIA IDARA YA UMISHENI NA ELIMU Limeandaliwa na Willy Emmanuel USIONDOKE NA UPEPO Yohana 8:3-11 3Basi, waalimu wa sheria na Mafarisayo wakamletea mwanamke mmoja aliyefumaniwa […]

on June 8, 2025
This content is part of a series Mahubiri, in .

WAKATI NI KILA KITU

WAKATI NI KILA KITU Mathayo 13:24-30   Nilianza kuwaza kuwa na shule ya Biblia miaka mingi sana lakini Sidhani kama nilijua kwamba mambo mazuri huhitaji muda Nilipokuwa mdogo sikuwa na […]

1 2 3