MKATE WA MBINGUNI
Ni muhimu sana kufahamu somo hili linalohusiana na mkate na hema ya kukutania kwa sababu nafahamu kwamba ni vigumu kumfahamu Yesu na kulifahamu neno kama huelewi hema ya kukutania. Wengi […]
Ni muhimu sana kufahamu somo hili linalohusiana na mkate na hema ya kukutania kwa sababu nafahamu kwamba ni vigumu kumfahamu Yesu na kulifahamu neno kama huelewi hema ya kukutania. Wengi […]
Marko 16:15 UTANGULIZI: * Nataka uone jinsi somo hili linavyoweza kukupa fikra na mawazo yatakayokusaidia kutambua ulipo. * Nitakuwa naelezea jinsi ya kujenga ulipo kwa kuwaza mbali * […]
MUZIKI JANGWANI KUTOKA 15:19-27 Kucheza mziki jangwani. Jangwa na kucheza mziki haionekani kuendana. Jangwani ni mahali pa kunusurika na sio kucheza mziki. Ni vigumu kuwaona watu wakicheza jangwani lakini wanawake […]
Utangulizi: Imani siyo maneno ya midomoni tu, bali ni msukumo wa moyo unaotupeleka kumgusa Yesu. Mwanamke mwenye ugonjwa wa damu aligusa pindo la vazi la Yesu kwa imani — na […]
Utangulizi: Maombi ni pumzi ya kiroho. Mtu asiyeomba anaishi maisha ya kiroho yaliyokufa. Biblia inatufundisha kuwa maombi ya mwenye haki yana nguvu ya ajabu. Tuna mifano mingi ya watu waliogeuza […]
Utangulizi: Hadithi ya Lazaro inatufundisha kuwa hakuna kilicho chelewa kwa Mungu. Yesu alisubiri siku nne – siku ambayo Wayahudi waliamini kuwa roho ya mtu haina tena uwepo. Alikuja akiwa amechelewa […]