Luka 12:48-50
Ukiiona sema amen!
Hii sio aya ya kawaida, sio ya kawaida kwa sababu sisikii wahubiri wakihuri kila wakat. Nimewahi kusikia mara moja maishani mwangu kusikia , Labda kama umewahi kusikia
48 Lakini mtumishi ambaye hafahamu anachotakiwa kufanya na akafanya kitu kinachostahili adhabu, atapata adhabu ndogo. Mungu atatarajia vingi kutoka kwa mtu aliyepewa vipawa vingi; na mtu aliyekabidhiwa vingi zaidi, atadaiwa zaidi pia.”
49 “Nimekuja kuleta moto duniani! Laiti kama dunia inge kuwa tayari imeshawaka! 50 Lakini kuna ubatizo ambao lazima niupokee na dhiki yangu ni kuu mpaka ubatizo huo utakapokamilika.
Nimegundua hajasema atadaiwa kama alivyotenda
Sasa tazama mstari huu;
51 “Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? Nawaambieni sivyo; nimekuja kuleta mafarakano.
Nimekuja kuleta moto duniani
Hivi itakuwaje kama tayari unawake!
50 Lakini kuna ubatizo ambao lazima niu pokee na dhiki yangu ni kuu mpaka ubatizo huo utakapokamilika.
Nataka nisome tena;
50 Lakini kuna ubatizo ambao lazima niu pokee na dhiki yangu ni kuu mpaka ubatizo huo utakapokamilika.
Somo ninalotaka kukushirikisha hapa ni;
FUMBO LA MSALABA
Fumbo la msalaba,
“Ewe Roho mtakatifu tunakualika majira haya. Tumetenga muda kukusikiliza, Utuzamishe kwenye kisima cha Neno, Chini chini kabisa utufunulie maarifa ya kweli makuu ya kutisha ulliyokusudia kwenye fungu hili ili tupite kutoka utukufu hadi utukufu na imani hadi imani. Tunakutumaini wewe katika mambo yanayoonekana kuwa fumbo. Utufumbulie leo funguo za msalaba kupitia mtumishi wako
Tunapoanza kuutambua msalaba jambo umefichwa kwenye maandiko yako ili neno lako lisitafsiriwe kwa akili za kibinadamu bali ufahamu upitao ufahamu wa kibinadamu.
Tulinde nasi tutakuwa salama katika Jina la Yesu, Amen!
Mafumbo kwa lugha ya Kitheolojia lugha ya kimvuri na mfano. Ni muhimu sana kuijua hii lugha ya fumbo kwa sababu ndio lugha iliyotumika katika Biblia. Mungu ameitumia ili kuandika mpango wa ukombozi wa binadamu ili adui asielewe kinachoendelea ila watumishi wake
Kwa sababu hiyo, inanifanya nilielewe Agano jipya kirahisi sana baada ya kugundua kuwa Agano la Kale ni Agano Jipya lililofumbwa kwenye Agano la Kale.
Unapofanikiwa kujua mafumbo ya Mungu unaweza kumpata Yesu katika Mwanzo, Kutoka, Kumbukumbu, Katika Hesabu, katika Esta, katika Walawi, katika Ruthu. Unaweza usione kwa sababu maeneno hayo yamefumbwa. Lakini Yupo kwenye Agano la Kale kwenye mistari ya maumivu na utukufu. Anajidhihirisha kwa vivuri
1Wakor. 4:1
Ila ni fumbo!
Mungu huwafunulia watiifu!
Yesu anawapa wanafunzi wake mkate na divai lakini Haiti mkate ama diva bali;
Mwili na damu yake Mathayo 26:26-28
“Chukueni mle; huu ni mwili wangu.” 27 Kisha akachukua kikombe, akashukuru, akawapa akisema, “Kunyweni nyote katika kikombe hiki. 28 Hii ni damu yangu…”
Kwa hiyo mikate ya wonyesho katika Agano la Kale alikuwa ni Yesu!
Katika Agano la Kale ameonyeshwa kama mwanakondoo lakini katika Agani Jipya anabadili ile maana halisi ya Kondoo kuwa yeye ndiye Mwanakondoo wa Mungu.
Anwaambia twaeni mle huu ndio mwili wangu.
Yesu anawaambia nina ubatizwa nipaswao kubatizwa nao.
Ni dhiki gani ambayo lazima atimilize? Tutaangalie hili kodogo ili tuanze kuelewa kilichoko ulimwenguni ambacho ndicho alikuwa anazungumzia.
Kuna fumbo kwenye biblia na kwenye asili lakin vyote vinatundisha nafasi na nguvu ya ubatizo.
Kama vile maji wakati anazaliwa mtoto yalivyo muhimu
Lakini kuna ubatizo ambao lazima niupokee na dhiki yangu ni kuu mpaka ubatizo huo utakapokamilika.
Chupa ya uzazi inapovunjika, mtoto anapita kwa njia ya maji ili kupunguza uchungu wa uzazi. Hivyo, asili inatufundisha hapa kwamba uhai uko ng’ambo ya pili ya maji
Dunia ilipoumbwa, Biblia inasema “hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi “ kisha tunaona kwamba ;
Roho wa Mungu akatua juu vilindi vya maji. Wasomi wengi wa Theolojia wanaweka gap kati ya Mwanzo 1:1 na Mwanzo 1:2
Katika Mwanzo 1 Mungu aliumba mbingu nan chi katika hali ya ukamilifu. Katika Mwanzo 1:2 Inatuonyesha kwamba dunia ilikuw katika hali isiyotambulika ikiwa ndani ya maji, Roho wa Mungu alipotua juu ya vilindi vya maji dunia ikazaliwa?
Ikazaliwa! Kwa maji na kwa Roho
Yohana 3:3,5
Baada ya hapo, ndege wakaanza kuimba
Mimea ikaanza kumea,
Samaki wakaanza kuogelea
Lakini hayo yote hayakuwezekana mpaka dunia ilipotolewa kwenye maji
Biblia inaelezea hivi, Akalitenga anga na maji yaliyokuwa juu na akaitenga nchi na maji ya bahari. Dunia ikawa imebatizwa ili ikaliwe na ianze kuwa mwanzo mpya (upya wa uzima).
Mungu akamruhusu Musa achungulie kidogo jambo hili aliporuhusiwa kuandika Pentatu.
Musa aliporuhusiwa kuandika Pentatu Biblia inasema Musa aliona vazi la Mungu kwa nyuma, haisemi aliona urefu wa Mungu kwa sababu, Mungu hana mwisho. Hana Mwanzo wala mwisho wa siku zake.
Kuna vazi la Mungu kwa nyuma wakati anaandika Pentatu ina maanisha Musa aliona maukio ya nyuma aliyefanya Mungu
Ndipo Musa akaandika, “hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi.”
Hapo mwanzo hakukuwa na Biblia! Ila neno lilikuwepo!
Unaweza kusomea Biblia lakini ukakosa Neno .
Tusingeweza kujua mwanadamu aliishi miaka mingapi kabla hakujakuwako maandiko Na inawezekana tu kwa mafunuo ambayo Musa alipewa alipokuwa na Mungu kule mlimani. Ufunuo wa mambo yaliyotokea wakati Musa hayupo duniani. Na Musa akaandika Pentatu
2Pet. 1:20-21
Unafuatilia ninachokueleza?
Vitabu vitano kwenye Biblia yako vinavyoitwa Pentatu vikaandikwa na vinatupa mwangaza wa Yesu katika umbo la fumbo tangu mwanzo
Tunamwona Yesu katika umbile la fumbo akiwa bustani ya Edeni. Adamu alipotenda dhambi, sauti ya Mungu aliipita bustanini. Huyo ni Yesu akitembea bustanini.
Sauti ya Mungu!
Yohana 1:1-4
Neno alifanyika mwili-Sauti ya Mungu ilitembea wakati wa jua kupunga. Sauti ile lilikuwa ni neno la Mungu na neno la Mungu ni Yesu! Lakini huoni jina lake likitajwa kwa sababu ni fumbo.
Hebu tuendelee kidogo,
Biblia inasema akamvalisha ngozi, Ngozi ile ni Yesu. Unajiuliza inawezekanaje?
Wagalatia 3:27
Kwa maana nyote mliobatizwa katika Kristo, mmemvaa Kristo.
Kwa hiyo sasa utajua aina ya mnyama ambaye ngozi yake alifunikwa Adam.
Pia utagundua ngozi haikuwa imekauka, na ilikuwa bado na damu damu. Ndiyo iliyofunika dhambi na utupu (aibu) ya Adamu. Damu ikiwa inadondoka kuchuruzikia miguuni mwa adamu. Dhambi ya Adamu inafunikwa na damu ya mnyama asiye na dhambi
2Wakor. 5:21
Mungu alimfanya yeye ambaye hakujua dhambi, awe dhambi kwa ajili yetu ili ndani yake tupate kuwa haki ya Mungu.
Yesu asiye dhambi alifanyika dhambi ili tuhesabiwe haki. Sasa damu yake imefunika udalimu wangu wote, aibu yangu na unyonge wangu wote.
Mungu anatumia lugha ya fumbo ili kutusaidia kuchungulia ili tuone jinsi alivyo.
Waisrael Wapotoka Misri:
Waebrania walipokuwa wanaondoka Misri wakafika bahari ya shamu. Watumwa wanao mkimbia mkoloni wao na mkoloni akiwa anawakimbilia akiwa na jeshi la farasi 600 na alidhani atawarudisha utumwani tena
Tumezoea mkoloni anavamia nchi, hapa mkoloni yuko kwake na watumwa wanarudi kwao.
Ana wafukuza watu wanaoenda kwao.
Usimkimbize mtu anayekimbilia kwao. Maana njia atakayokupitisha hujawahi kuipita.
Anayekukimbia anajua njia lakini unayemkimbilia hujui njia, ni Kama unamfuata.
Adui alijua atawapata kama ambavyo adui zako wanavyodhani watakupata. Wapitishe kwenye njia wasiyoijua ili wamjue Mungu wako!
Biblia inasema Waebrania waliingia ndani ya bahari kama watumwa walitoka kama wana. Kwenye ubatizo tunaingia kwenye maji kama watumwa wa dhambi lakini tunatoka kama wana wa Mungu.
Tunaposoma habari ya Waisraeli wanapotoka Misri hatuoni hasa maana yake, ila tunaona kama wakimbizi. Ni kweli lakini ulikuwa ukimbizi mzuri maana walipora utajiri wa Misri na kujitwika mabegani mwao. Ulikuwa ni utajiri mwingi kiasi ambacho hawakuweza kubeba hata wakatwika na watoto wao.
Ilikuwa lazima wawatwike watoto wao maana ni uatajir wa vizazi.
Wengine mna mali lakini ndugu zenu ni masikini. Una mali lakini watoto wako wanataabika.
Biblia inasema walibeba na vingine waliwabebesha watoto wao. Dhahabu na fedha zilikuwa nzito sana, kama si Mungu kukausha bahari wangezama kwenye matope kama Farao.
Mungu anapotengeneza njia yako inakuwa kavu ili upite salama. Udongo ule ule uliokuwa mkavu unapopita adui akijaribu kupita unabadilika kuwa tope ilia dui azame. Kwasababu alikuandalia Mungu hakimhusu adui.
Ulichopewa na Mungu ni chako!
Mungu akikutengenezea njia, sijali ni nani anayekukimbiza au ni nini kinachokumbiza. Hakitafanikiwa kuona nchi kavu bali matope. Kwenye njia ya Mungu utakuwa utajiri mwingi na mzito kiasi cha kuishi kuwa na watoto watakaokusaidia kuubeba utajiri
Kuubeba utajiri!
Mungu atafanya ambayo na wanao wataipita ili wasizame lakini adui yao atakwama matopeni. Atakwama.
Biblia inasema walivuka bahari, Mungu alirudisha maji na Farao akazama baharini.
Wana wa Israeli wakaimba, wakaimba kwa utukufu wa Mungu.
Kadri walivyoimba ndivyo Farao na jeshi lake alizidi kuzama baharini. Farasi waliokufa walikuwa wanaelea, Askari waliokufa walikuwa wanaelea. Lakini wana Israeli walikuwa wanaimba
Unatakiwa kujifunza kuimba kwa ajili ya kumzamisha adui. Najua ni vigumu, lakini Mungu anapoweka wimbo ndani yako unatakiwa kuimba hivyohivyo. Biblia inasema,
Miriamu na wanawake wengine akatwaa tari. Wakacheza huku Farao akiendelea kuzama
Tari, ilikuwa moja ya vifaa walivyochukua Misri
Hushangai kuona kwamba nyimbo zinaweza kumzamisha shetani? Na ya kuwa nyimbo zinaweza kumfunga mdomo adui. Kadri unavyozidi kuimba ndivyo Farao wako anavyozama. Najisikia kuimba sasa
Kila wakati unapoimba unazamisha baadhi ya maadui maishani mwako.
Nataka kuzamisha watu!
Najanda kuzamisha kitu Fulani kilichotesa maisha yangu. Sio kila ninapoimba ninafuraha moyoni mwangu bali wakati Fulani ukiniona naimba ni kwa sababu nimepata wa kuwazamisha.
Kuzima inajua haitanipata kabla sijaizamisha!
Kuzimu haitanifunga, haitanipiga pingu, haitanizuia kusonga mbele.
Alichoniandalia Mungu ni changu.
Sasa watu wengine watasema unaimbaimba kwa sababu ya hisia na wengine watasema unaimbaimba kwa sababu ya ulokole wako. Lakini baadaye watajua ulikuwa unaimba kwa sababu ulimpata wa kumzamisha.
Imba mpaka adui asionekane. Imba mpaka ufunguliwe
Imba mpaka washindwe kukutambua, imba mpaka uwe huru
Hawatajua maana kuimba kama ambavyo leo watu hawajui kwamba kuimba ni fumbo
Kuanzia sasa tutamshughulikia Shetani kwa fumbo la sifa. Hatajua maana yake
Nyimbo sifa zinapopanda juu Baraka hushuka chini
Kila kitu kwenye biblia kimeandikwa lugha ya rohoni nalugha ya rohoni ni fumbo. Ndiyo maana mitume waliponena kwa Lugha Shetani alisema wamelewa akidhani kuwafedhehesha lakini lugha ile ilikwa mawasiliano ambayo shetani hakujua kama yatamzamisha
Warumi 8:26
Tunapoomba shetani hushambulia maombi yetu yasifanikiwe, lakini hajui kama kuomba kwetu ni fumbo. Tunapoomba kwa Mungu na Roho Mtakaifu anaomba kwa Mungu
Akizuia maombi yako hawezi kuzuia maombi ya Roho Mtakatifu anapoomba kiasi cha kuugua. Kuomba kiasi cha kuugua kusikotamkwa hakuwezi kuwa lugha
Wakati Fulani inabidi nitumie fumbo kumwomba Mungu
Kwa nini?
Ni kwasababu wakati Fulani mwili unanisaliti siwezi kuuamini.
Tunaendelea na somo letu la Fumbo la msalaba lakini nilitaka ujue nafasi ya lugha ya fumbo ilivyo kwenye Biblia.
Kila upya wa uzima unahitaji maji. Kutoka tumboni maji huhusika, ili dunia izaliwe maji yalihusika. Ili dunia izaliwe ilibidi iwe ndani ya maji kwanza
Ili mtoto azaliwe ni lazima azingirwe na maji kwanza
Ili mtu azaliwe mara ya pili ni lazima atoke ndani ya maji.
Kisha naona uhusiano wa maji na nuru Mwanzo 1:3
Linganisha na Yohana 1:6-10 na Yohana 8:12
“mimi ndimi nuru ya ulimwengu”
Mungu anataka kufundisha jambo kwa sababu watoto wa Waebrania walipoikaribia nchi ya ahadi walidhani wataingia nchi ya ahadi kwa bila kuingia kwenye maji kwa sababu ya bahari walliyovuka wazazi wao, ilibidi wavuke mto Yordani.
Walipofika Yordani, Yoshua hakuugawa mto kwa njia aliyotumia Musa. Yoshua alishuka kwenye maji
Wakati fulani unatakiwa kulowana miguu ili unaowaongoza wasilowane miguu
Usiige mbinu aliyotumia mwingine kumshinda adui
Wana wa Israeli walilazimika kupita chini, na dunia ililazimika kuzaliwa kutoka majini
Kuna uhai unafichwa ng’ambo ya maji
Hema na Maji:
Usipoelewa fumbo la hema unakosa kujua sehemu kubwa ya Biblia. Ukisoma tu hutatambua vilivyo kwamba tuna kuhani mkuu awezaye kuchukuliana na udhaifu hisia zetu
Hivi unajua kwamba kwenye hema kuna kulikuwa na sehemu inaitwa bwawa (birika/labor). Na ilikuwa baada ya madhabahu ya shaba
Kabla hujaingia kwenye hema ya kukutania kulikuwa na behewa ya nje/ua
Oh Halelluya, hebu ona adui alivyohangaishwa, malaika anapoongea na Yohana kuhusu wakristo vuguvugu anatumia lugha ya maskani ya kukutania anasema
“behewa iliyo nje usiipime”
Kabla hujaingia hemani ilikuwa ni lazima usimame birikani kwa sababu ndio yaliyokuwa yanakuachilia kuingia katika hema ya kukutania. Unaelewa ninachomaanisha juu ya uhusiano wa maji na nuru? Pale nje, yaani behewani kulikuwa na mwanga wa jua na birika iko pale, kisha kule Patakatifu palikuwa na kinara cha taa saba, ohh tena vinara vya taa na sio mwanga wa jua
Ufun. 1:17
Matayo 5:13
Nje kulikuwa na nuru ya jua, na ndani kulikuwa nuru ya taa, nuru ya mafunuo ya Mungu, nuru ya uso wake
Neno lako ni taa ya miguu yangu
Patakatifu palikwa na;
Meza ya mikate ya wonyesho-Mimi ndimi mkate
Kinara chenye taa saba-ufunuo 1:12,17; 2:1
Madhabahu ya dhahabu Ufunuo 11
Patakatifu Pa patakatifu hapakuwa na taa. Hatuhitaji mwanga wa taa mbinguni wala mwanga wa jua. Utukufu wa Mungu unaangazia patakatifu pa Patakatifu.
Unajua, Mungu aliposema na iwe nuru ikawa nuru; jua, mwezi na nyota vilikuwa havijaumbwa bado?
Ndio!
Kama kulikuwa na nuru siku ya kwanza kwa vyovyote sio nuru ya jua kwa sababu jua liliumbwa siku ya nne. Hii inaanisha kwamba maisha ya nje hayawezi kuwa bora bila Mungu kuumbia nuru ndani yako.
Unaweza usielewe kila kitu kwa sababu nakufumbulia mafumbo
Kitabu cha Ufunuo kinatwambia kwamba uso wa Bwana utaangaza mbingu
“Na mji ule hauhitaji jua la mwezi (mwanga wa asili) kuuangaza, kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru, na taa yake ni Mwanakondoo”
Hakutakkuwa na usiku kwa sababu utukufu wa Mungu utakuwa mwingi kiasi cha kuosha kuangaza mbingu. Hii inaturudisha siku ya kwanza ambapo hapakuwa na jua, mwezi wala nyota lakin kulikuwa na nuru ilitoka kinywani mwake. Mungu aliposema neno neno likawa nuru!
Hapo mwanzo kulikuwako neno naye neno alikuwako kwa Mungu…….Yohana 1:1-3, 6-8
Siku ya mwisho itakuwa kama siku ya kwanza! Oh Haleluya!! Dunia itakapokujwa kama karatasi. Jua, mwezi na nyota kazi zao zitakoma!
Hesabu za Mungu,
ya mwisho kuwa kama ya kwanza ndipo wa kwanza atakapokuwa wa mwisho lakini hatakuwa kama wa mwisho.
Hili ni fumbo ili adui wa Mungu asijue ila watumishi wake tu.
Mapepo hayawezi kujua
Wachawi hawawezi kujua
Wasengenyaji hawawezi kujua
Ni lazima uwe mwaminifu ili ujue hizi siri za Mungu
Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu. Hapo tena inayohitajiwa katika mawakili, ndiyo mtu aonekane kuwa mwaminifu …
1Wakor. 4:1-5 Angalia pia 2Tim. 2:2
Usishangae mtu anayepigana nawe akikuweza, ni kwa sababu anakuwa amepata funguo/codes zako. Funguo zako ndio siri za nguvu zako. Kama huelewi mtafute Samsoni. Kupigwa vita ni kawaida kwa mtumishi wa Mungu, Kukataliwa ni kawaida kwa mtumishi wa Mungu lakini kushindwa sio kawaida kwa mtumishi wa Mungu.
Namaani aliyejaa ukoma, Biblia inasema Eliya alimwambie ajichovye mto Yordani mara saba. Alipojichovya maya saba aliibuka ametakasika.
Nauona utakaso katika maji.
Waefeso 5:26 “kanisa limetakaswa kwa neno na maji”
Nauona uhai
Kama iliwezekana kwa Naamani ndiyo maana iliwezekana kwa Yoshua.
Kama iliwezekana kwa Musa ndio maana iliwezekana kwa dunia
Na kwa mtoto anapozaliwa.
Kabla ya upya wa uzima kuna maji!!
Kama iliwezekana kwa dunia, basi kuna jambo tunalotakiwa kulijua zaidi kuhusiana na ubatizo
Je unaelewa?
Yesu anasema ;
“Nina ubatizo”
Wanafunzi wake walikuwa wanauliza ni nai atakayeketi mkono wa kuume na mkono wa kushoto. Kisha akawauliza kama wako tayari kubatizwa kama yeye. Kulikuwa na ubatizo endelevu mbele yake. Hakuwa anazungumzia ubatizo aliobatizwa nao Yordani kwa sababu pale ilikuwa ni mwanzo wa huduma yake.
Mwishoni mwa huduma yake nazunguzmia ubatizo tena, lakin ni fumbo.
“Nami nina dhiki hata utimizwe” Zingatia neno hilo.
Nilidhani ni uabatizo wa mara moja tu lakini anasema nina dhiki kama nini hata utimizwe.
Ili uelewe inabidi uelewe Mathayo 5:17
Ubatizo sio tukio la siku moja. Ubatizo ni fumbo linaendelea kutokea maishani mwako. Maisha yote ya Mkristo ni mauti, kuzikwa na kufufuka
Unajiuliza kwa nini, ni kwasababu Yesu alisema “tujitwike msalaba kila siku”. Msalaba ni alama ya mauti yake.
Yesu anajua kuwa hili ni muhimu. “nina ubatizo nipaswa kubatizo nami nina dhiki hata utakapotimizwa” maana yake ubatizo wangu unaendelea kufanya kazi ila haujatimilizwa. Dhiki niliyo nayo nayo ni kwa sababu haujatilizwa
Ana mwambia Nikodemo kwamba lazima uzaliwe kwa maji na kwa roho. Anamfahamisha kwamba kila kinachotaka kuzaliwa lazima kuwe na maji yameambatana na uzazi huo. Ni hatari kwa mwanamke kujifungua bila maji. Maji hurahisisha upitaji wa mtoto
Yesu alibatizwa kwa namna inayoonekana katika mto Yordani; Yohana alipomwona aliwaambia tazama mwanakondo wa Mungu achukuaye dhambi za ulimwengu
Mathayo 3:13; Yohana 1;39
Hutakiwi kujionyesha, Mungu atamtuma mtu akayewambia watu habari zako
Kama unajitangaza wakati hakuna anayekutangaza maana yake hakuna unalofanya. Kama unazidi kusema
Mimi ni kichwa cha nyumba, unatwambia wewe sio kichwa cha nyuma
Ukizidi kusema mimi ni mchungaji, unatwambia wewe sio mchungaji
Katika Agano la Kale kulikuwa na maagizo kama sikukuu ya majuma, Sikukuu ya mikate isyotiwa chachu, Sikukuu za Pentekoste. Kisha tuna ubatizo na meza ya Bwana. Maagizo huelezea kitu fulani lakini kwambo na vivuri. Wengine wanaongeza kutawadha kama kimvuri.
Natamani ningekuwa na muda wa kutosha
Yesu alipoweka mavazi yake pembeni aliwatawadha wanafunzi wake katiaka Yohana 13;
Ilikuwa siku moja kabla ya sikukuu ya Pasaka. Yesu alijua ya kuwa wakati wake wa kuondoka duniani na kurudi kwa Baba yake umekaribia. Alikuwa amewapenda sana wafuasi wake hapa duniani, akawapenda hadi mwisho. 2 Na wakati alipokuwa akila chakula cha jioni pamoja na wanafunzi wake, shetani alikuwa amekwisha kumpa Yuda Iskariote, mwana wa Simoni, wazo la kumsaliti Yesu. 3 Yesu akijua ya kwamba Baba yake alikwisha mpa mamlaka juu ya vitu vyote; na kwamba yeye alitoka kwa Mungu na alikuwa anarudi kwa Mungu, 4 alitoka mezani akaweka vazi lake kando, akajifunga taulo kiunoni. 5 Kisha akamimina maji katika chombo akaanza kuwaosha wanafunzi wake miguu na kuikausha kwa ile taulo aliyojifunga kiunoni.
Sababu ya tukio hili analolifanya duniani kuelezwa kwa kina kwa sababu alilifanya jambo ambalo ni fumbo na ili uelewe inabidi usome Wafilipi 2:6-7
6 yeye kwa asili alikuwa sawa na Mungu, lakini hakuona kwamba kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kush ikilia sana. 7 Bali alikubali kuacha vyote, akachukua hali ya mtumishi, akazaliwa na umbo la wanadamu. 8 Alipochukua umbo la mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii mpaka kufa, tena kifo cha msalaba.
Anapokaribia kuondoa duniani alifanya duniani alichofanya mbinguni.
Duniani alivua vazi lake-Mbinguni alivua utukufu wake
Duniani alivaa taulo-Mbinguni alivaa umbo la binadamu mtumwa mtiifu
Mengine unaweza kumalizia kama kutawaza na kuutoa uhai wake
Jambo hilo analifanya mbele ya wanafunzi lakini hawaelewi ni nini na sisi tunadhani ilikuwa ni desturi za wayahudi. Sababu ni ile ile, huwezi kuelewa mpaka siri ifumbuliwe.
Maagizo yalikuwa yanaelezea ujumbe muhimu na Yesu anafumbua moja moja hata yatimie.
Ndio maana Neno la Mungu li hai kwa sababu wote tunaweza kusoma Biblia lakin sio wote wanaoweza kuona neno la Mungu kwenye Biblia.
Tangu mwanzo wa somo hili nimetumia aya ambazo umezisoma miaka yote. Sio wanaoelewa Maji yaliyofunika dunia katika kitabu cha Mwanzo inavyofunua bahari ya kioo mbele ya kiti cha enzi katika kitabu cha ufunuo
Katika kila hatua unatakiwa kuingia kwenye maji ili upate upya uzima sio ili upate uzima bali upya wa uzima Labda ndio maana hata wasio wacha Mungu wanasema maji ni uhai na Mungu anataka kutuambia kitu lakini kazi yangu kwenye somo hili ni kukwambia fumbo la msalaba.
Hema au masikani ya kukutania inafungua mlango wa injili na muhimu kujua ili upate ufunuo timilifu wa injili kwa sababu hema ni fumbo la ujumbe wa msalaba. Msalaba unaona kwenye mlango wa hema na Yesu anasema mimi ndimi mlango ambao kwao mwanadamu atapata malisho ya kijani kibichi
Mlango ulikwa na rangi ya blue-Neema ya Mungu
Nyekundu-Ukombozi wa Mungu
Zambarau –Ukuu wa Mungu
Yesu anaposema mimi ndimi mlango, kwa kuelewa rangi za mlango wa hema unaelewa maana yake.
Ni mlango wa neema
Mlango wa ukombozi
Mlango wa kuwa familia ya kifalme
Ni mlango wa kuwa uzao wa Ibrahimu
Kwa hiyo unaingia kuzingumzia hema na muda hautoshi kuzungumzia kwa undani lakini nitazungumzia upangiliaji wa samani za hema
Madhabahu ya shaba, Birika, Madhabahu ya kufukiza uvumba, meza ya mikate ya wonyesho, Pazia , sanduku la agano vyote hivi ni Yesu. Ni matokeo ya msalaba!
Pazia lililokuwepo hekaluni lilikuwa refu na nene ili kuzuia watu kukutana na utukufu wa Mungu uliokuwa umefichwa nyuma ya pazia
Yesu ndiye utukufu ule Yohana 1:14
“Nasi tukauona utukufu wake,utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba amejaa neema na kweli”
Na bado Filipo anamwambia tuonyeshe Baba inatosha. Sababu ya Filipo kutoona utukufu uliokuwa ndani ya Yesu ni kwa sababu ngozi ya Mariam iliyokuwa kwenye mwili wa Yesu ilikuwa pazia
Usishtuke!
Ni hivi, Askri alipochoma na mkuki ubavuni alitoboa mwili ya Mariam uliokuwa pazia na Pazia la Hekalu likapasuka kutoka chini hadi juu. Kwa hiyo lile Pazia tangu agano la kale lilikuwa ni mwili wa Yesu lakin Waisraeli hawakuelewa.
Askari alijua anamchoma Yesu kumbe anachana Pazia la hekalu. Anadhani anamuua Yesu kumbe anafungulia utukufu zaidi
Pazia lilikuwa fumbo la msalaba; Waebrania 10:20
20 kwa njia mpya iliyo hai tuliyofunguliwa kupitia lile pazia, yaani kwa njia ya mwili wake,
Yesu ndiye Meza ya mkate wa wonyesho-Mathayo 26:26-28
Yeye ndiye Kinara cha Taa
Yeye ni sanduku la Agano
Yeye ndiye Birika ya shaba
Yeye ndiye Madhabahu ya shaba
Na Vyote hivi Waisraeli wanasafiri navyo jangwani bila kujua na Yesu mwenye alikuwa hajazaliwa kmwili na Mariamu alikuwa bado hajazaliwa lakin ni Mwana wa Mungu tangu milele.
God is not making this up as he goes. He has had a plan from the very beginning. God doesn’t wait till you’re in trouble and then try to figure out how he’s gonna get you out. God has made the way of escape before you ever even get in trouble. This is a picture of the lamb that was slain from the foundations of the world.
God already had the solution before Satan asked the question. God is playing monopoly with Satan. He already has the answer. He already knows the way. He’s already by the way, he’s already got your answer.
He’s already got your answer. You think God is sitting up in heaven trying to think of how he’s gonna get you out? There is no temptation taking you but such as is common to man. But God is faithful with who with the temptation will also make a way of escape. So if you got a problem, you got to have an answer because you can’t have a problem without the answer being made to accommodate the the problem that you have right now.
Slap somebody and say, I got the answer. Jesus is the answer for the world today. Above him, there’s no other. Jesus is the way. Jesus is the answer for the world today.
Oh, above him there’s no other man. Jesus is the way. Go to your Bibles to Romans six, at least one through six. I might I might go further, but go to Romans six. What shall we say then?
Shall we continue in sin that grace may abound? God forbid. God didn’t create grace so that you would have a license to sin. He created grace so that if you sinned, he would not have to come to the cross again. Yeah.
Y’all didn’t hear what I said. If if you sin, he doesn’t have to get up off off the throne and go to the cross. That’s why when he died on the cross, he said, it is finished. I died for that which was past, present, and future. There is nothing that you could ever do that the blood isn’t strong enough to cover When Jesus said it is finished, it is forever settled, but he does not want you to use his grace as a license to be lascivious.
The word lascivious is unrestrained action. So being a Christian means being restrained. Yeah. Yeah. And being restrained is uncomfortable.
If you ever been handcuffed, then I ain’t gonna get in that. I don’t know I don’t know where that might go. But but but especially especially them handcuffs I use today and plastic, they’re not designed for your comfort. Watch this. They’re not designed for your comfort.
They’re designed for your constraint. So being a Christian means being constrained by the grace of God. Look, do do do have you ever thought about what you would be, I mean, even as bad as you are now? Have you ever thought about how much worse you would be if God hadn’t constrained you? Have you ever thought about you might be dead if God hadn’t constrained you?
Have you ever thought about it wasn’t that the the the the boyfriend you broke up with and cried about and almost lost your life about was about to give you AIDS, but God constrained you? And and it was good for you that you had been afflicted. For had you not been afflicted, you would have been killed. Have you ever thought about that sometimes God says no and constrains you for a divine reason? Hallelujah.
And sometimes God didn’t mean for you to get the job and you sitting up here pouting face and all upset because you didn’t get the job, but God knew that job was gonna drive you crazy. And God’s got something better for you. Being a Christian means being constrained. God forbid. How shall we that are dead to sin live any longer therein?
We we could do it, but we can’t live in it. Let me make this plain. A lamb can fall into the mud just like a pig, but when the lamb gets in the mud he cries. And when the pig gets in the mud he wallows. They they they fell in the same mud.
Yes, sir. They did the same thing, but because they have different natures, the pig can’t get enough of the mud. But the lamb, no matter how much he tries, he can’t be comfortable in the mud because it’s not in his nature with his wool on his back that heavy. It’s not in his nature to be happy in the mud. See, the pig can be happy in the mud because pigs don’t have much hair.
But lambs have woolly hair, And when they get in the mud, it weighs them down. And God will put something in you that’ll weigh you down till you come back and say, I’m sorry. I’m sorry about what I did to you. I’m sorry about what I said to you. I’m sorry about how I treated you.
I I I I’m sorry because I didn’t speak to you. Give God praise for doctor Orley in the house. Yes. Yeah. Yeah.
I saw you. I know who you are. I got my glasses on, honey. I can see good. Let me tell you something.
You can’t there are some of you right now, you keep falling into it, but you can’t stay in it. Because how can we that are dead to sin live any longer therein. Know ye not know ye not that so many of us as were baptized into Jesus Christ were baptized into his death. Therefore, we are buried with him by baptism into death that like as Christ was raised up from the dead by the glory of the father, even so we also should walk in the newness of life. There goes that process again, coming up out of the water, walking in the newness of life.
You must be born of the water and of the spirit so that you can have eternal life. There goes that process again. The earth coming up out of the water and all of a sudden life begins to emerge. There goes that process again. The water breaks and the baby is born.
There goes that process again. The Red Sea parts and the children of Israel escaped all bondage. They escaped all bondage. They escaped all debt. It was supernatural debt cancellation because they had borrowed the gold from the Egyptians, so they left in debt.
But when the when the debtor died, then all the debts were paid and they were set free. I I see supernatural debt cancellation coming in this room on some people in this room. God’s gonna do some things in your life that’s gonna change your credit score, change your debt, change your status, put you in a new place. All you gotta do is keep following him. For if we have been planted together in the likeness of his death, if if if if if we have been planted together in the likeness of his death, we shall be also in the likeness of his resurrection.
So that means I go down with him. I come up with him. And now I’m walking in the newness of life. Knowing this, said our old man is crucified with him, that the body of sin might be destroyed. That the body of sin might be destroyed.
I have a baptism to be baptized with. How shall I be straight until it be accomplished? He’s killing me. Little by little, day by day, He’s killing me. He’s killing me.
That’s what baptism is about. Death, burial, resurrection. It’s killing my temper, killing my pride, killing my stubbornness, killing my lasciviousness, killing my perverseness. He’s killing me. It’s not dead yet, but he’s killing me.
As I continue to go through stages of death, burial, and resurrection. That’s why you judging me from over here, and now I’m over here. You understand what I’m saying? And then, while you run-in your mouth, I’m moving over here. Yeah.
Yeah. Yeah. Because every day he’s killing me. My outward man is perishing. That my inward man might be renewed.
It’s perishing. I’m I’m still bad, but it’s perishing. I’m still a little hot headed, but it’s perishing. You know, I still want to go off on a brother every now and then, but it but but it’s perishing. He’s he’s killing me.
He’s killing me. There was a time I wouldn’t have been caught dead in church on a Wednesday night, but he’s killing the old man. He’s killing the old man. And now I’m coming to church on a Wednesday night. How many of you can praise God that you are coming to church on a Wednesday night?
Tell somebody and say, he’s killing my old man. He’s killing my old man. Knowing this, that our old man is crucified with him, that the body of sin might be destroyed. That henceforth, we should not serve sin. So I’m no longer a slave to sin.
I went from a slave to a son when I came up out of the water. I’m a tie it all up together before I sit down. For he that is dead is freed from sin. And then we’ll forget when my mother passed away, they called my house and I wasn’t in too good of a mood. And, they called my house over an ambulance bill they said she owed.
And they said, is Mrs. Jakes here, Mrs. Otis Jakes here? I said, no, she’s not. And they said, we’re calling about this bill that she owes for an ambulance rep.
I said, I don’t know who how you gonna get it. I I said, she’s not here, but I I know where you can find her. She she she’s over there in law land. Yeah. And if she wants to write you a check, she can.
But I’m not Otis Jakes. He that is dead is freed from sin. He’s killing me. Now, if we be dead with Christ, we believe that we shall also live with him. Knowing that Christ being raised from the dead, dieth no more.
Death have no more dominion over him. For in that he died, he died unto sin once, but in that he liveth, he liveth under God. Now, I’m a bring this home. I’m a bring this home, and I’m a I’m I’m gonna try to make this real to you so you can see. I’m gonna give you the same Paul who wrote that scripture.
I’m gonna give you two scriptures that shows you what it’s like to perpetually go through the metamorphosis of death where you grow in the grace and the knowledge of Jesus Christ on a daily basis. Paul says, I count not myself to have apprehended, but this one thing I do. Forgetting those things which are behind me and reaching to those things before me. You you know, I can’t reach and look back at the same time. So if you’re watching me online right now, you got to decide, are you going to look back or are you gonna reach forward?
Anybody in here gonna reach forward? Yes. The only way you can reach forward is to stop looking back. If you keep looking back, you can’t reach forward. I wanna hammer this in real good.
At dark moments in my life, whenever I look back, I got depressed. But whenever I look forward, the depression left. The enemy doesn’t want you to look forward. He wants you to keep looking back. Because as long as you keep looking back, you can’t reach forward.
Because your arm won’t let you look back and reach forward at the same time. I can look to the side, but I can’t look back. I can’t see none of the preachers in the pulpit because they’re back. And I might have saved you some therapy money. If you stop talking about what your grandmama did, and and who didn’t raise you, and what happened when you was three and what you went through and how your daddy yelled at you and your mama whipped you with the belt and she don’t have no sense.
And there there you are 35 years old looking back turning into a pillar of salt. When you could be looking forward. Now, I’m a show you two scriptures and then I’m gone. Romans seven seventeen through 20. If you’re enjoying this Bible class, type it on the line.
Yeah. If you’re enjoying this class, give him a praise in this room. Now, some theologians say that this is before Paul got saved. I personally don’t agree with that. I think this is in the early stages of of his walk with God.
But he says, as it is, it is no longer I myself my sinful nature. For I have the desire to do what is good, but I cannot carry it out. For I do not do the good I want to do, but the evil I want to do, this I keep doing. Now if I do what I do not want to do, it is no longer I who did it, but it is sin living in me that does it. Are you hearing what I’m saying?
Yes, sir. Now I wanted you to go to Galatians 220 and see him as he matured in Christ and and see what what he has done. As Paul come into deeper revelations of of of of the cross, when Paul first got saved, he didn’t even recognize Jesus on the road to Damascus. Who is it? Who is it?
And Jesus said, it is Jesus whom thou persecuted. Okay? And he was blind for days. And when he first started writing and started writing Thessalonians, he started writing about the second coming of the Lord. And the further he went on, he started writing more and more about the cross.
And he started saying, I count it all but done that I might win the excellency of the knowledge of Jesus Christ, because because because God is killing his old man. He’s killing him while he’s walking. He’s constraining him. He’s dying daily. Stuff is falling off of him.
Judaistic pride and arrogance has fallen off of him. He sends him to preach to the gentiles. He lets him get stoned and left for dead. He lets him get shipwrecked. He lets him get snake bit.
He gets all of this stuff that’s happening in his life. And the more things happen to you in your life, the more you come to know who God really is. Let me do a test. Don’t the scriptures look different to you now than they did twenty five years ago through the things you suffered? It’s the same Bible.
It’s the same scriptures, but as he continues to kill the old man, all of a sudden the encryption opens up. And you you can cipher it better. Yeah. You get keys into deeper revelation. And that’s why I wouldn’t take anything from my journey right now, because it costs me too much to know what I know about it.
I went through too much. I’m not just talking about going to school. Right. Right. I’m talking about going through life.
Yeah. You’re not gonna get this by reading somebody’s book. You’re gonna get this by going through life. As you go through life and pain and sorrow and grief and turmoil and confusion and heartbreak and disappointment, you come to know Oh. Oh, that I may know him in the fellowship of his suffering and the power of his resurrection.
I can’t know him in the power of his resurrection if I don’t know him in the fellowship of his suffering. So now, in Galatians two twenty, we’re we’re looking at a seasoned soldier, and he says this, and I’m about to close. He says, I am crucified with Christ. I the the the eye that I couldn’t control, the I that would never behave, the I that was at war inside of himself all the time. He said, I am crucified with Christ, and I no longer live.
I no longer live. It’s not about me anymore. But Christ lives in me. The life I now live in the flesh or in the body, I live not by my faith, but I live by faith in the Son of God who loved me. And gave himself, watch, the life that I now live in the flesh, I live by the faith of the Son of God, who loved me and gave himself for me.
Draw a line between live and give. He loved me and gave himself for me. Aligned between love and giving. Don’t tell me you love me, and you never give nothing. It’s not that you have to.
I don’t believe that you have to give it out. I don’t believe Shut up. What you’re telling me is that you don’t love, because love will always seek a way to express itself. It’ll send a note, it’ll send a flower, it’ll send a card, it’ll spray a envelope with perfume and hope the perfume doesn’t come off in at the mail at the post office. Come on, come on, come on.
Talk to me. Where my real people at? Where my real people at? Where my where my real people at? Love will find a way.
It will lay away something for a year to get it out, to give. Love will always find a way to give because giving is about loving. It’s not about duty. It’s not about bondage. It’s not about pain.
It’s about transformation. The transformation of the human soul is what causes this text to be meaningful. Now, I’m getting ready to close, but I want you to understand this. You can stay right where you are. I’m coming.
I want you to understand this. What I’m teaching on is the cryptology of the cross. The cross was settled from the beginning. It was there from the beginning. Jesus said, for this purpose came out into the world.
I have a baptism to be baptized with. How shall I be straightened till it be accomplished? How can until it wait on me, until it be accomplished, It’s got to be accomplished. So you got saved. You join the church, but you’re not through dying.
You haven’t reached the point. It is no more I that live it, the Christ that live it to me. And the life that I now live in the flesh, I live by the faith of the Son of God who loved me.